Latest and breaking news.

Breaking

Sunday, 23 June 2019

Part 2:Nairobi chronicles

Part 2
Jayson requested me anipeleke lunch as we wait ofisi ifunguliwe by 2 pm. He was hot and yummy so singekataa and he looked loyal.I was waiting for Joyce ani pick but dint bother telling him. We headed kwa parking yake guess wat! He was driving a new Premio latest! Si akanifungulia mlango,so romantic! Nkajua Leo my eskanunu is a theatre manenoz! nikaingia front seat my friend. He drove off naye shetani hakulangi pilau ya Yaya Centre, Jayson put on some music kumbe ilikua ile ngoma ya westlife inaitwa Paloma. I dissolved nikaanza kuimba kimomoyo but nkijipata naimba ya ukweli. Jayson aka park kando to listen to my voice. He was amused na akanishow nimempendeza though nliona kama ni chocha! He proceeded driving tukaingia tao and the music was still cool. Obvias nlikua nimejipa! I was feeling like I own C.P.D yote Nairobi,kufika hapo Kenyatta avenus tukapatwa na jam kiasi hapo dio DJ aliharibu cos Jayson was looking deep in my eyes! I was helpless and he reached at me for a kiss....weeh nkafunga macho! Gosh! Si machali Wa Nairobi mko na degree ya kissing, nlijipata nimefunga macho mdomo nayo unafanya kazi yake...oh my kumbe nlikua nishapenda Jayson in 30 or so minutes! He hugged me but I was sure hizo kisses ni za mapenzi. Vile jam ilipungua we proceeded to have our lunch hapo dio nlipata missed calls za Joyce my friend and texts flowing " uko wapi?" Looking for you....sikua na nguvu ya Ku reply so nkampea Jayson nkamshow a reply am ok will be back in some minutes. Jayson did so tukafika in one of these big hotels hapo tao. Akafungua mlango held my hand tukaingia kwa hotel. Wah! Kushikwa mkono hadi reception made me feel like nko na shares in that Hotel. Tukaenda in a private area waiting order yetu ya lunch. Jayson akanishow amenipenda and am a miracle in his life. He held my hand nkajua he is the one! His fingers,his smile,his sidebacks oh myselofu nkajua he is sent from a little heaven. Joyce kept on calling she dint know I just found the love of my life. Si hii Nairobi INA bahati my friends.... My worry was this guy asiwe na bb cos kama ni ma side Chic's tutapambana nao. So I asked him Kama ameoa he said "No" I stood na nkazunguka then sat on him,kisha nkampea kiss kama ya Alehandro na Miriah Cruiz. We mapenzi yakapanda, I dint adastad why things happened so fast.Lunch ikaletwa...wah ilikua ni grilled chicken na pineapple juice....Jayson akaniongeza kiss nkafunga macho..
Part 3 below
Loading...

No comments:

Post a Comment

Pages