Latest and breaking news.

Breaking

Sunday, 23 June 2019

Nairobi chronicles:Part 1 to 9

FULL STORY NAIROBI CHRONICLES Part 1 Mums hatujabonga for long. Kuna beshte yangu from Nairobi anaitwa Joyce aliniita huko anitafutie job. Tulikua tunafanya job naye for long so she is a friend I trust. Last week akanishow kuna interview inakam up so niende Nairobi nijaribu bahati yangu. Sikua na pesa ya kutosha but I had 5k mahali so nkajipanga Thursday usiku nikaabiri Modern Coast bus hadi Nairobi. Ofcos sijawahi tembea Nairobi nlikua nikipitia when I was married by Mwangi from Murang'a last year. But ukweli it was my first time kutembea Nairobi. I was anxious of visiting the capital ju hua naionea news za saa moja. Nkafika Friday morning na Joyce akani pick hadi kwake. She lives in Donhom but niliskia watu wanakuita Doni. It was a cool place but hio Estate anakaa sema nyumba kufanana unaweza ingia kwa jirani if you not careful. Hey kumbe Joyce anaishi maisha smart hivo, I was almost jealous of her. Nyumba ilikua 1 bedroom na fully furnished tena tuko na screen ile kubwa. Nkajua Joyce alikula charity ama ana jamaa mwenye doh! Nkapumzika until 12 noon kisha Joyce akaniamsha. I was to go for an interview huko Lavington. So Joyce akanipeleka then she left akanishow ningoje ju ilikua ifanyike saa nane hapo atani pick tukimaliza.Nikaa hapo kwa Reception kama 30 min then sec akaniita. Akanishow nikam Monday ju mwenye anatufanyia interview yuko occupied so nirudi 10 am Monday. I immediately called Joyce but haku pick so nkangoja hapo Reception cos she was to come for me. Vile nliboeka Sana nkasema niingie kilimani nichangamkie udaku, just then a handsome guy akaingia and sat next to me! Nkasonga kidogo he Holland mi yaani kunisalimia and I affirmed. Akaniuliza secretary yuko wapi nkamshow ameenda lunch maybe akam saa nane ama amngoje. The guy was cool akaingiza mkono kwa mfuko kutoa simu wacha nione funguo za gari wuuuiiii plus this guy was super handsome! Nkajua sio kama hawa nawachilia......infact roho yangu ikanishow nimehurumia maskini sana na kuwapea nunu ya bure so ni maximize this opposunity. This guy made a call alipomaliza he asked my name nkamshow "Kadzo" he told me he was "Jayson". Vile sijawahi katiwa na guy with such a beautiful name nikaingia box kabla niingizwe! He requested anipeleke lunch somewhere ili ofisi zifunguliwe 2 pm. I was waiting for Joyce but nikasema sio chance kama hizi mi huangusha.Tukat oka hadi parking wah guess wat he was driving a Premio ile "latest" akanifungulia mlango wow! So romantic! Nkajua nunu itaenda theatre,
Loading...

No comments:

Post a Comment

Pages