Latest and breaking news.

Breaking

Sunday, 23 June 2019

Nairobi chronicles: Part 3

Part 3
So my only worry ilikua Jayson awe ameoa. I asked him akanishow hajaoa so nkajua Niko safe slay queens tutapambana na wao. Nkazunguka kwa kiti yake kisha I sat on him na nkampea kiss. I felt like I was somewhere in my small world of Wakanda. Jason akanishika mkono oh my! Nkamwaga kiasi....hapo dio nlijua moyo ushajipa na nimependa Jayson. Lunch ikaletwa ilikua grilled chicken na pineapple juice.Jayson ni wale ma guy romantic akaanza kunilisha wah vile sijawai kula grilled chicken kumbe ni tamu hivo...but nlikua nala kwa maringo kumwonyesha Jayson sina pupa ya nyama. Joyce kept on calling and texting so I decided to call her back asione kama ni madharau na ni yeye aliniita Nairobi. Kumpigia vile alipick msomo ikaanza "sijui uko wapi,nakutafuta " I had to explain to her kuna dem beshte yangu nasalimia but will be back in a few hours. Hakutosheka but she hanged up. Nkasema afadhali Joyce a catch feelings but Jayson lazima awe wangu. tulimaliza kula kitu 2:30 pm hapo Jayson was go back to the office ju kuna documents alikua anataka from that company, but akanishow hataenda ju its not that urgent. Nkamshukuru for offering me lunch. Nkamshow ani drop hapo Donhom but on the way,he requested me tupitie kwake hapo Kileleshwa kisha anipeleka Doni. Since nlikua nisha mtrust nakakubali. Kufika kwake,kumbe Jayson lives in these lavish apartments kama za Nyali.He drove in na nkafunguliwa mlango ntoke.he then held my hand hadi kwa nyumba. Nkajua hana dem serious kama amenileta kwake na amenishika mkono tukiingia.infact niliangalia solder nione reaction yake sikuona anything nkajua Jayson sio womanizer ama woman eaters! Gosh kuingia kwa nyumba mnasema palace mnakosea kumbe Jayson alinipeleka in a small heaven.sitting room yenyewe ilikua kama state house ya South Wakanda. It was fully furnished na carpet ya red kama ile ya white house. Couch nazo ni zile za kubonyea ukikaa,wah nkajua nimefika! Kumbe dio maana kila mtu husema anaishi Nairobi. nkaanza kusorora nione kama nitaona any signs za mwanamke in that house. So I requested him anipeleke round nione the whole house. Nkapelekwa room by room oh my! Everything was perfect mo sister oh! Nkapelekwa hadi bedroom sema scent poa ya perfume, i suspected kuna dem huletwa.so nkikagua bedroom nkainua mattress ju wah ni zile huitwa high density nayo bed ni 6 by 6....nkainua niangalia kama kuna panty zimefichwa huko sikupata. nkajua nitaacha yangu cos nyumba bila mwanamke haina mwenyewe
Part 4 below
Loading...

No comments:

Post a Comment

Pages