Latest and breaking news.

Breaking

Monday, 17 June 2019

How i found out my wife is cheating on me after client sent me to pick her Taxi driver narrates

Kaeni chini niwape uhondo,,,Am a taxi driver at Eldoret town.yesterday nimekaa tu kwa mlango ya gari yangu nikitegea customer,ilikuwa around 2pm kajamaa fulani akakam,wacha nianze kupigia budget ile doo yake,yaani ile kusota nilikuwa nayo ni mungu tu anajua.jamaa akaja direct kwangu,nikampikia kasmile,akanisalamia kaa tu customers wengine then akaniuliza penye atapata lodging poa hapa Eldy,nikamwonyesha.Tega sikio!baada ya kumshow akaniuliza kaa anawezanipa job nimwendee dem wake pale Langas.ilibidi nimechangamkia,jamaa akanipa number ya huyo kamrembo wake,akanishow nikifika tu Langas nimkol anishow penye ako nimpick.ilikuwa new number by the way.nikastart gari kaa wazimu...venye tu nilimaliza kitu 500mtrs my regular customer akanikol niende kumpick urgently,so nikapiga hesabu yangu haraka,nikarudi nikampata beshte yangu taxi driver pia nikampatia ile number yenye nilipewa na ule jamaa,nikamshow aendee huyo dem Langas ndio mimi niendee customer wangu wa kawaida.jamaa akaenda kumpick huyo dem.amwendee,naye akachangamka.alipofika Langas akampigia huyo dem wakameet akampick na akamdrop pale kwa ile lodge kunyanduliwa na jamaa.around 5pm tukameet na ule beshte yangu away from tao,akaniuliza,
"ulikuwa sure na dem mwenye ulikuwa unaniambia nimwendee?"nikamshow simjui nilipewa tu number na jamaa yake,hata number yenyewe sijui.akanishow ati ni kama ni wife wangu.i was shocked!immediately nikamkol wife wangu,nikamwuliza penye ako akanishow ako home but sauti yake walahi,ungejua kuna mtu anarina asali.nikaenda home kuconfirm but nilifika kwa hao mlango iko locked,mtoto ameacha kwa jirani na analia..,part 3 in next page.
File photo of a taxi driver
Loading...

No comments:

Post a Comment

Pages